1/8
Chombezo Media screenshot 0
Chombezo Media screenshot 1
Chombezo Media screenshot 2
Chombezo Media screenshot 3
Chombezo Media screenshot 4
Chombezo Media screenshot 5
Chombezo Media screenshot 6
Chombezo Media screenshot 7
Chombezo Media Icon

Chombezo Media

Chombezo Media
Trustable Ranking Icon인증완료
1K+다운로드
16.5MB크기
Android Version Icon4.1.x+
안드로이드 버전
2.0(02-12-2020)최신 버전
5.0
(1 리뷰)
Age ratingPEGI-3
다운로드
세부 정보리뷰버전정보
1/8

Chombezo Media의 설명

Sasa Unaweza Kusoma na Kujifunza mambo mbalimbali Kupitia App hii ya CHOMBEZO MEDIA... Tuna vipengele vingi Uvipendavyo kama ifuatavyo


>> CHOMBEZO

Hapa Utaweza kusoma Hadithi, LoveStory, Na nyingine nyingi za watunzi mbalimbali hapa nchini,.... Mtunzi / Mwandishi, Tutumie Kazi yako hapa +255714419487 WhatsApp


>> KUHUSU NDOA

Hapa Utaweza kujifunza namna ya kuishi na Mume / Mke au Mahusiano, Uliza swali lako juu ya ndoa au mahusiano yako, na utajibiwa,... Uliza swali kupitia Comment... Hakikisha umejisajili


>> MIKASA

Hapa Utaweza kujifunza yale yaliowakuta watu katika maisha au mahusiano yao, Na hata wewe msomaji unaruhusiwa kunitumia mkasa wako ili tukushauri au msaada kwa namna moja au nyingine +255714419487 WhatsApp


>> MADA MUHIMU

Hapa Utaweza Kujifunza Mambo mbalimbali Yanayo ulizwa na watu, hivyo tutaweka maswali ya watu humu na kuyajadili kama MADA ya siku, tutumie bada yako leo +255714419487 WhatsApp


>> UCHAMBUZI WA MITINDO

Hapa Utaweza Kujifunza jinsi ya kuvaa au kusuka kwa namna tutakavyo chambua mavazi au nywele,.. Kama utahitaji kuchambuliwa wewe na vazi au nywele zako, basi tutumie picha zako tukuchambue mtindo wako wa nywele au vazi ulilovaa, utapewa ushauri au kukosolewa usikasirike +255714419487 WhatsApp


>> MESEJI TAMU

Hapa Utaweza Kujifunza namna ya kumtumia meseji mwandani wako, usikurupuke kutuma meseji, huenda ikamchukiza kutoka na mudi alionayo leo,.. Ukiwa na meseji tamu tutumie +255714419487 WhatsApp


>> UDAKU

Hapa Utaweza kupata habari za burudani na wasanii mbalimbali duniani kote


>> HABARI

Hapa Utaweza kupata habari mbalimbali kutoka ndani na nje ya nchi


>> MUZIKI

Hapa Utaweza kuona ama kujua ni muziki gani unatamba duniani kote... Utaweza kupakua Audio na Video uitakayo hapa


HUDUMA ZOTE HIZO UTAZIPATA CHOMBEZO MEDIA PEKEE, HAKUNA MALIPO YEYOTE ZAIDI YA KUJISAJILI ILI KUTOA USHAURI AU KUULIZA MASWALI NA UTAJIBIWA NA MTOA MADA... KARIBUNI SANA


Chombezo Media - 버전 2.0

(02-12-2020)
다른 버전들
뭐가 새롭나New UIBugs Fix and Performances Improved

아직 평가나 리뷰가 없습니다! 첫 번째로 남겨 보세요

-
1 Reviews
5
4
3
2
1
Info Trust Icon
좋은 앱임을 보장합니다이 어플리케이션은 바이러스,멀웨어와 기타 악의적인 공격에 대한 보안 시험을 통과하였으며 어떠한 위험요소도 포함되어 있지 않습니다.

Chombezo Media - APK 정보

APK 버전: 2.0패키지: com.chombezomedia.vitabu
안드로이드 호환: 4.1.x+ (Jelly Bean)
개발자:Chombezo Media개인정보보호정책:https://chombezomedia.000webhostapp.com/privacy-policy.html권한:13
이름: Chombezo Media크기: 16.5 MB다운로드: 7버전 : 2.0출시 날짜: 2020-12-02 10:49:38최소 스크린: SMALL지원되는 CPU: x86, x86-64, armeabi, armeabi-v7a, arm64-v8a
패키지 ID: com.chombezomedia.vitabuSHA1 서명: 80:CF:52:9C:7B:5C:9F:C8:CB:4E:46:24:B7:84:77:DE:06:94:E3:0A개발자 (CN): Android단체 (O): Google Inc.로컬 (L): Mountain View나라 (C): US주/시 (ST): California

Chombezo Media의 최신 버전

2.0Trust Icon Versions
2/12/2020
7 다운로드16.5 MB 크기
다운로드

다른 버전들

1.2Trust Icon Versions
12/11/2020
7 다운로드8 MB 크기
다운로드
1.0.1Trust Icon Versions
3/8/2020
7 다운로드5 MB 크기
다운로드

동일 카테고리의 앱

좋아할 만한 것...